Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO NA UVUVI KWA AJILI YA MAANDALIZI YA USHIRIKI WA MKUTANO MKUU WA AGRF 2023

MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO NA UVUVI TAREHE 12 JULAI, 2023 KWA AJILI YA MAANDALIZI YA USHIRIKI WA MKUTANO MKUU WA AGRF SEPTEMBA 5-8, 2023
TAREHE 12 JULAI 2023
MAHALI: LAVENDA HOTEL, DODOMA
MUDA: SAA 02:30 ASUBUHI
WOTE MNAKARIBISHWA
Kujiunga bofya hapa >>>>>>> https://www.agrf-inperson.com/