MPINA ATEMBELEA VIWANDA VYA SAMAKI - MWANZA

Imewekwa: Thursday 20, February 2020

Waziri Mpina atembelea viwanda hivyo Jijini Mwanza kwa ajili ya kuona shughuli za uzalishaji pamoja na miundo mbinu ya viwanda hivyo

katika ziara yake Mh. Mpina asisitiza wafanyakazi na wafanyabiashara kuongeza uzalishaji.

.