MPINA AFUNGUA KITUO CHA KANDA, ZVC NA TVLA MKOANI RUKWA

Imewekwa: Monday 04, November 2019

Uzinduzi wa vituo hivyo ni kwa ajili ya kusogeza huduma za mifugo karibu na Wananchi pamoja na kupata chanjo za Mifugo kwa bei pungufu ya Serikali na kwa haraka Zaidi.

.