Mhe. Luhaga Joelson Mpina akiweka Jiwe la Msingi kwenye Kiwanda kikubwa cha Kusindika Nyama cha Tanchoice

Imewekwa: Tuesday 02, April 2019

Kiwanda hicho kitakuwa na uwezo wa Kuchinja Ng'ombe 1000 kwa siku na Mbuzi 4500. Hivyo ni fursa kubwa kwa Wafugaji kwa maana Soko la Mifugo lakini pia ni fursa kwa Vijana wa Tanzania kuweza kupata ajira, kutokana na kwamba Kiwanda kinauwezo wa kuajiri wafanyakazi 500

.