Maziwa Lita 5,810 zatolewa katika Maadhimisho ya Wiki ya Maziwa Mkoani Arusha

Imewekwa: Tuesday 04, June 2019

katika Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Maziwa iliyofanyika katika Viwanja vya Sheikh Amri Abeid Tarehe 01/05/2019, jumla ya lita 5,810 za maziwa ziligawiwa kwa Wanafunzi wa shule mbalimbali, kwa wagonjwa hospitalini na watu wenye mahitaji maalum.

.