MATOKEO YA MITIHANI YA BARAZA LA VETERINARI TANZANIA YATOLEWA

Imewekwa: Wednesday 09, September 2020

Baraza la Veterinari Tanzania limetoa matokeo ya mitihani ya kujiandikisha ya baraza hilo, iliyofanyika katika vituo vya SUA, MPWAPWA, TENGERU na CANRE. Kupata orodha kamili ya matoke bofya hapa.

.