Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
NAMBARI ZA MITIHANI KWA WATAHINIWA WANAOTARAJIA KUFANYA MITIHANI

BARAZA LA VETERINARI LIMETOA NAMBARI ZA MITIHANI KWA WATAHINIWA WANAOTARAJIA KUFANYA MITIHANI YA KUJIANDIKISHA NA BARAZA LA VETERINARI KAMA WATAALAM WASAIDIZI UTAKAOFANYIKA JULAI 28-29, 2020. KUPATA ORODHA KAMILI. BOFYA HAPA