Habari

  • ​RAIS, DKT. SAMIA KUWEKA HISTORIA UZINDUZI UJENZI WA BANDARI KILWA

    September 14, 2023

    Septemba 19, 2023, ni siku ambayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan anakwenda kuandika historia mpya katika sekta ya uvuvi kwa kuzindua ujenzi wa Bandari ya Uvuvi ya Kilwa Masoko ambayo haijawahi kuwepo tangu nchi ya Tanzania ipate uhuru.

  • ULEGA AALIKA WAWEKEZAJI KUUNGA MKONO BBT

    September 14, 2023

    ​Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amewaomba Wadau na Wawekezaji mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi kuwekeza katika programu ya BBT ili kuunga mkono jitihada za Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan za kuinua wanawake na vijana kupitia sekta za mifugo na uvuvi.

  • ULEGA: MAONO YA RAIS DKT, SAMIA KUIFANYA MSOMERA KUWA KIJIJI CHA MFANO YATATIMIA

    September 14, 2023

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amesema serikali ya Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan imedhamiria kukifanya Kijiji cha msomera kuwa cha mfano kwa ufugaji na ndio maana imeendelea kuchukua hatua mbalimbali za kujenga na kuboresha miundombinu ili wafugaji waweze kufanya ufugaji wenye tija zaidi.

  • PROF. SHEMDOE ASISITIZA MAMBO SITA YA KUZINGAZIA KATIKA UANDAAJI WA MRADI WA MAZIWA

    September 14, 2023

    ​Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Riziki Shemdoe leo tarehe 13 Sept 2023, ameshiriki ufunguzi wa mkutano unaoandaa andiko la mradi wa kuongeza uzalishaji wa maziwa huko Kigali nchini Rwanda kwa kuzingatia mabadiliko ya tabia nchi.

.