Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).

i)Awe ana stashahada ya afya ya wanyama (Diploma in Animal Health); au Stashahada ya afya ya wanyama na Uzalishaji katika Tropiki (Diploma in Tropical Animal Health and Production) ama Stashahada ya Afya ya wanyama na Uzalishaji (Diploma in Animal Health and Productionpamoja na kuwa na cheti cha kufaulu mtihani wa Baraza).

ii)Gharama ya kuandikishwa ni TZ sh 40,000/=.