Je Mtanzania aliyesoma shahada ya tiba ya wanyama nje ya nchi anaweza kusajiliwa na Baraza na kufanyakazi kama daktari wa mifugo hapa nchini?(foreig

Mtanzania aliyesoma nje ya nchi anaweza kusajiliwa baada ya kuwasilisha vyeti vya taaluma na kutakiwa kufanya na kufaulu mtihani wa Baraza.