Sifa gani za mtaalam kusajiliwa kama daktari wa mifugo?

Awe ana shahada ya kwanza ya tiba ya mifugo (BVM) kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Baraza kwa ada ya TZSh. 50,000/= na endapo amesomea nje ya nchi atahitajika kwanza kufanya na kufaulu mtihani wa Baraza.