Albamu ya Video

  • BULAYI: SERIKALI HAIJASITISHA MATUMIZI YA TAA ZA SOLA KATIKA UVUVI WA DAGAA ZIWA VICTORIA

    BULAYI: SERIKALI HAIJASITISHA MATUMIZI YA TAA ZA SOLA KATIKA UVUVI WA DAGAA ZIWA VICTORIA

    March 09, 2023

    Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imesema haijatoa agizo la kusitisha matumizi ya Taa za Sola katika uvuvi wa Dagaa kwenye Ziwa Viktoria ifikapo Januari Mosi, 2023, huku ikiwataka wavuvi kuendelea na shughuli zao kwa kuzingatia Sheria, Taratibu, Kanuni Miongozo inayosimamia shughuli za uvuvu nchini.

  • SEMINA YA WAKUU WA IDARA WA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI INAYOHUSU MASUALA YA SUMUKUVU,DODOMA.

    SEMINA YA WAKUU WA IDARA WA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI INAYOHUSU MASUALA YA SUMUKUVU,DODOMA.

    March 09, 2023

    SEMINA YA WAKUU WA IDARA WA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI INAYOHUSU MASUALA YA SUMUKUVU,DODOMA.

  • Ndaki ahitimisha Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Mifugo....

    Ndaki ahitimisha Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Mifugo....

    March 09, 2023

    Asisitiza maboresho kuhusu hereni za kielektroniki na zuia la kuingiza vifaranga vya kuku nchini...

  • WAWEKEZAJI WATAKIWA KUTOA FURSA ZA AJIRA KWA WAZAWA

    WAWEKEZAJI WATAKIWA KUTOA FURSA ZA AJIRA KWA WAZAWA

    March 09, 2023

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mashimba Ndaki amewataka wawekezaji katika sekta ya mifugo kuhakikisha wanatoa kipaumbele cha ajira kwa vijana ili waweze kufaidika moja kwa moja na uwekezaji wao unaofanyika hapa nchini.

  • Haya hapa Maagizo 13 yaliyotolewa na Mhe. Waziri Mkuu leo..

    Haya hapa Maagizo 13 yaliyotolewa na Mhe. Waziri Mkuu leo..

    March 09, 2023

    Msomera kuwa Darasa la Ufugaji

.