Albamu ya Video

  • Yaliyojiri Disemba, 2022.

    Yaliyojiri Disemba, 2022.

    March 09, 2023

    Tazama yaliyojiri Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Disemba 2022.

  • NDAKI: ENEO LA KITUO CHA KUPUMZISHIA MIFUGO BUHEMBA HALIJAUZWA

    NDAKI: ENEO LA KITUO CHA KUPUMZISHIA MIFUGO BUHEMBA HALIJAUZWA

    March 09, 2023

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mashimba Ndaki amewahakikishia wananchi wa Kijiji cha Mekomariro kuwa eneo la Kituo cha Kupumzishia Mifugo Buhemba kuwa halijauzwa na hakuna muwekezaji yeyote aliyepatiwa eneo hilo.

  • NAIBU WAZIRI ULEGA ATAKA UWEKEZAJI WA KIBIASHARA

    NAIBU WAZIRI ULEGA ATAKA UWEKEZAJI WA KIBIASHARA

    March 09, 2023

    NAIBU WAZIRI ULEGA ATAKA UWEKEZAJI WA KIBIASHARA

  • WAFUGAJI SINGIDA WAPATIWA MBEGU ZA MALISHO YA MIFUGO

    WAFUGAJI SINGIDA WAPATIWA MBEGU ZA MALISHO YA MIFUGO

    March 09, 2023

    WAFUGAJI SINGIDA WAPATIWA MBEGU ZA MALISHO YA MIFUGO

  • BULAYI: SERIKALI HAIJASITISHA MATUMIZI YA TAA ZA SOLA KATIKA UVUVI WA DAGAA ZIWA VICTORIA

    BULAYI: SERIKALI HAIJASITISHA MATUMIZI YA TAA ZA SOLA KATIKA UVUVI WA DAGAA ZIWA VICTORIA

    March 09, 2023

    Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imesema haijatoa agizo la kusitisha matumizi ya Taa za Sola katika uvuvi wa Dagaa kwenye Ziwa Viktoria ifikapo Januari Mosi, 2023, huku ikiwataka wavuvi kuendelea na shughuli zao kwa kuzingatia Sheria, Taratibu, Kanuni Miongozo inayosimamia shughuli za uvuvu nchini.

.