Albamu ya Video

  • NAIBU WAZIRI ULEGA AKIJIBU MASWALI BUNGENI JIJINI DODOMA KUHUSU UJENZI WA MAJOSHO HAPA NCHINI

    NAIBU WAZIRI ULEGA AKIJIBU MASWALI BUNGENI JIJINI DODOMA KUHUSU UJENZI WA MAJOSHO HAPA NCHINI

    March 09, 2023

    NAIBU WAZIRI ULEGA AKIJIBU MASWALI BUNGENI JIJINI DODOMA KUHUSU UJENZI WA MAJOSHO HAPA NCHINI

  • DORIA ZAPUNGUZA UVUVI HARAMU ZIWA VICTORIA

    DORIA ZAPUNGUZA UVUVI HARAMU ZIWA VICTORIA

    March 09, 2023

    Doria zilizofanyika katika maeneo ya Ukanda wa Ziwa Victoria zimesaidia kupunguza vitendo vya uvuvi haramu, biashara ya samaki wachanga na utoroshaji wa mazao ya uvuvi kwenda nje ya nchi kwa asilimia 80. Hayo yamesemwa leo (06.02.2023) Bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini, Mhe. Dkt. Oscar Kikoyo aliyetaka kujua ni kiwango gani Vikosi Kazi (Task Forces) zimepunguza tatizo la uvuvi haramu katika Ziwa Victoria kwa kipindi cha miaka mitatu iliyopita.

  • WAZIRI NDAKI APOKEA NA KUZINDUA MIZANI 82 ZITAKAZOSIMIKWA KATIKA MINADA YA MIFUGO NCHINI

    WAZIRI NDAKI APOKEA NA KUZINDUA MIZANI 82 ZITAKAZOSIMIKWA KATIKA MINADA YA MIFUGO NCHINI

    March 09, 2023

    WAZIRI NDAKI APOKEA NA KUZINDUA MIZANI 82 ZITAKAZOSIMIKWA KATIKA MINADA YA MIFUGO NCHINI, 6.2.2023

  • Ni lazima muondoke Mto Kilombero-Ndaki

    Ni lazima muondoke Mto Kilombero-Ndaki

    March 09, 2023

    Asisitiza wafugaji wanaoondoka wasizuiwe!

  • Ndaki acharuka Kilosa!

    Ndaki acharuka Kilosa!

    March 09, 2023

    Ndaki acharuka Kilosa! Atoa maagizo mazito

.