Albamu ya Video

 • UWEKEZAJI SEKTA YA MAZIWA WAANZA NA NMB, WAFUGAJI WAPATIWA SOMO!

  UWEKEZAJI SEKTA YA MAZIWA WAANZA NA NMB, WAFUGAJI WAPATIWA SOMO!

  March 01, 2019

  Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Mifugo Prof. Elisante Ole Gabriel azungumza na mwandishi wa habari wa Gazeti la Mwananchi, kuhusu mkutano mkubwa wa wadau wa sekta ya maziwa unaofanyika (25 na 26.02.2019)

 • KATIBU MKUU MIFUGO ATOA NENO KWA MKUU WA SUMA JKT!

  KATIBU MKUU MIFUGO ATOA NENO KWA MKUU WA SUMA JKT!

  March 01, 2019

  Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) Prof. Elisante Ole Gabriel akutana na Mkurugenzi Mtendaji wa SUMA JKT Kanali Rajabu Mabele wakati akikagua ujenzi wa jengo la wizara katika mji wa serikali eneo la Mtumba jijini Dodoma. (27.02.2019)

 • Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina amewaamuru wamiliki wa Viwanda vitano vya kuchakata minofu ya Samaki vilivyopo Jijini Mwanza kulipa faini ya Shilingi milioni 180 ndani ya saa 24, baada ya kubainika kupokea na kuchakata Samaki wasioruhusiwa kwa muji

  Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina amewaamuru wamiliki wa Viwanda vitano vya kuchakata minofu ya Samaki vilivyopo Jijini Mwanza kulipa faini ya Shilingi milioni 180 ndani ya saa 24, baada ya kubainika kupokea na kuchakata Samaki wasioruhusiwa kwa muji

  January 22, 2018

  Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina amewaamuru wamiliki wa Viwanda vitano vya kuchakata minofu ya Samaki vilivyopo Jijini Mwanza kulipa faini ya Shilingi milioni 180 ndani ya saa 24, baada ya kubainika kupokea na kuchakata Samaki wasioruhusiwa kwa mujibu wa Sheria ya Uvuvi.

 • Serikali yataifisha ng'ombe 6648

  Serikali yataifisha ng'ombe 6648

  January 16, 2018

  Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina Ameagiza kukamilisha taratibu za Uhamiaji na Mahakama kupitia mwanasheria mkuu wa Serikali wa Wilaya ya Misenyi Pamoja na Uhamiaji, ili kuweza kupigwa mnada kwa idadi ya ng’ombe 6648 walioingia nchini kinyemela toka nchi jirani ya Uganda na kukamatwa.

 • Uvuvi Haramu Waletea Hasara Serikali

  Uvuvi Haramu Waletea Hasara Serikali

  January 16, 2018

  Serikali Imepata Hasara kutokana na Uvuvi Haramu wa njia ya kupiga mabomu ambapo Samaki wadogo na wakubwa hufa

.