Albamu ya Video

 • Dkt. Rashid Tamatama afungua Mkutano wa Wataalamu wa magonjwa ya Samaki

  Dkt. Rashid Tamatama afungua Mkutano wa Wataalamu wa magonjwa ya Samaki

  June 09, 2020

  Katibu Mkuu Sekta ya Uvuvi Dkt. Rashid Tamatama aliwaeleza Wataalamu wa Magonjwa ya samaki kuwa, tunatakiwa kupambana na kuzuia Magonjwa yanayovuka mipaka ( trans boundary).

 • DONDOO MUHIMU ZA NAIBU WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI MHE. ABDALLAH ULEGA KUHUSU UVUVI HARAMU

  DONDOO MUHIMU ZA NAIBU WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI MHE. ABDALLAH ULEGA KUHUSU UVUVI HARAMU

  June 09, 2020

  Dondoo muhimu za Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi. Mhe. Abdallah Ulega wakati akiongoza kikao cha tathmini ya kitaifa ya Operesheni Sangara III, Mwaka 2018 Kanda ya Ziwa Victoria, Mkoani Mwanza (01.12.2018)

 • Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh Luhaga Mpina azindua Dawati la Sekta Binafsi Jijini Dodoma

  Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh Luhaga Mpina azindua Dawati la Sekta Binafsi Jijini Dodoma

  June 09, 2020

  Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh Luhaga Mpina azindua Dawati la Sekta Binafsi Jijini Dodoma

 • Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo, Prof. Elisante ole Gabriel, akijaribisha ubora wa zana za kufungia majani

  Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo, Prof. Elisante ole Gabriel, akijaribisha ubora wa zana za kufungia majani

  June 09, 2020

  Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo, Prof. Elisante ole Gabriel, akijaribisha ubora wa zana za kufungia majani ya malisho katika shamba la Wizara, Vikuge, Kibaha, Mkoani Pwani, tarehe 20/11/2018

 • Naibu Waziri Wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega ahamasisha wananchi kunywa maziwa.

  Naibu Waziri Wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega ahamasisha wananchi kunywa maziwa.

  June 09, 2020

  Naibu Waziri Wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega ahamasisha wananchi kunywa maziwa.

.