Albamu ya Video

 • UWEKEZAJI SEKTA YA MAZIWA WAANZA NA NMB, WAFUGAJI WAPATIWA SOMO!

  UWEKEZAJI SEKTA YA MAZIWA WAANZA NA NMB, WAFUGAJI WAPATIWA SOMO!

  June 09, 2020

  Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Mifugo Prof. Elisante Ole Gabriel azungumza na mwandishi wa habari wa Gazeti la Mwananchi, kuhusu mkutano mkubwa wa wadau wa sekta ya maziwa unaofanyika (25 na 26.02.2019)

 • MAKATIBU WAKUU WAONYESHA KWA VITENDO, UJENZI WA JENGO LA WIZARA!

  MAKATIBU WAKUU WAONYESHA KWA VITENDO, UJENZI WA JENGO LA WIZARA!

  June 09, 2020

  Makatibu wakuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Prof. Elisante Ole Gabriel (Mifugo) na Dkt. Rashid Tamatama (Uvuvi) wameshiriki katika ujenzi wa jengo la wizara katika mji wa serikali Mtumba jijini Dodoma.

 • "Hatupendi kusikia wanaojenga majengo ya serikali wana madai" Naibu Waziri Ulega

  June 09, 2020

  Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega amefanya tathmini ya maendeleo ya ujenzi wa jengo la wizara hiyo (04.01.2019) katika Mji wa Serikali jijini Dodoma na kusisitiza SUMA JKT waendelee kuwalipa kwa wakati wafanyakazi wanaojenga jengo hilo pamoja na kuzingatia ubora wa jengo kulingana na thamani halisi ya pesa.

 • Tathmini: Ziara ya Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega kisiwani Zanzibar!

  Tathmini: Ziara ya Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega kisiwani Zanzibar!

  June 09, 2020

  Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega aelezea ziara yake ya siku moja visiwani Zanzibar mbele ya waandishi wa habari katika kisiwa cha Unguja kwenye ofisi za Mamlaka ya Usimamizi wa Bahari Kuu Zanzibar (21.12.2018)

 • KASI YA UJENZI WA JENGO LA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI DODOMA, HAISHIKIKI!!!

  KASI YA UJENZI WA JENGO LA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI DODOMA, HAISHIKIKI!!!

  June 09, 2020

  Tarehe 14.12.2018 Wizara ya Mifugo na Uvuvi imetiliana saini na SUMA JKT kwa ajili ya ujenzi wa jengo la ofisi ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi katika Mji wa serikali, Mtumba Jijini Dodoma.

.