Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Albamu ya Video
-
Tanzania na Misri Wasaini Mkataba!
June 09, 2020Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Joelson Mpina akishuhudia zoezi la utiaji saini baina ya Makampuni mawili NARCO kutoka Tanzania na NECAI kutoka Misiri kwa ajili ya ujenzi wa Kiwanda kikubwa kitakacho shughulika na mazao ya mifugo, ambapo Kiwanda hicho kitajengwa Mkoa wa Pwani.
-
"NJIWA PORI" AMPA HEKO WAZIRI MPINA!
June 09, 2020Joseph Kando "Njiwa Pori" aliyekuwa kinara wa uvuvi haramu Ziwa Victoria ampa heko Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina (Mb) kwa kudhibiti uvuvi haramu. Haya yalijiri katika kikao cha kitaifa cha tathmini ya 'Operesheni Sangara II, 2018 kilichofanyika Jijini Dodoma (05.12.2018).
-
Serikali yateketeza Tani 11 ya samaki Leo Tarehe 11/03/2019 Jijiji Dar es Salaam.
June 09, 2020Serikali yateketeza Tani 11 ya samaki zenye thamani ya Tshs mil.66 zilizobainika kuwa na sumu na hazifai kwa matumizi ya binadamu iliyofanyika leo katika eneo la Dampo Pugu Kinyamwezi Jijini Dar es Salaam.
-
Uzinduzi wa mpango kabambe wa kuendeleza Mifugo Tanzania ( TLMP) Leo Tarehe 10/03/2019 Dar es Salaam
June 09, 2020Uzinduzi wa mpango kabambe wa kuendeleza Mifugo Tanzania ( TLMP) Leo Tarehe 10/03/2019 Dar es Salaam
-
KATIBU MKUU MIFUGO ATOA NENO KWA MKUU WA SUMA JKT!
June 09, 2020Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) Prof. Elisante Ole Gabriel akutana na Mkurugenzi Mtendaji wa SUMA JKT Kanali Rajabu Mabele wakati akikagua ujenzi wa jengo la wizara katika mji wa serikali eneo la Mtumba jijini Dodoma. (27.02.2019)