Albamu ya Video

 • KIPINDI: MIFUGO NA UVUVI (UFUGAJI BORA WA NG'OMBE)

  KIPINDI: MIFUGO NA UVUVI (UFUGAJI BORA WA NG'OMBE)

  June 09, 2020

  Wizara ya Mifugo na Uvuvi inaandaa mfululizo wa vipindi vya redio na televisheni ambavyo lengo lake kuu ni kutoa elimu na kukufahamisha majukumu ya wizara ya kuboresha sekta ya mifugo na uvuvi kwa mwananchi na taifa kwa ujumla.

 • Serikali haina mchezo Wataalamu watua MAFIA kufundisha Wavuvi

  Serikali haina mchezo Wataalamu watua MAFIA kufundisha Wavuvi

  June 09, 2020

  Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Joelson Mpina amepeleka Wataalamu kwa ajili ya kuwafundisha Wavuvi. Akiwa Mafia Waziri Mpina amezindua mafunzo hayo na kuwahimiza Wavuvi wote kuwa makini ili waweze kuelewa mafunzo yatakayo tolewa na Wataalamu hao.

 • WAZIRI MPINA AWAAPISHA WAJUMBE 8 WA BODI YA TALIRI

  WAZIRI MPINA AWAAPISHA WAJUMBE 8 WA BODI YA TALIRI

  June 09, 2020

  SERIKALI imeitaka bodi mpya ya Taasisi ya Utafiti wa Mifugo (TALIRI) kufanya tafiti za kitaifa ili kuondoka dhana ya taasisi nyingine ambazo zimejikita kufanya tafiti za kibinafsi.

 • TASNIA YA NGOZI YAWEKEWA MIKAKATI YA KUONGEZEWA THAMANI

  TASNIA YA NGOZI YAWEKEWA MIKAKATI YA KUONGEZEWA THAMANI

  June 09, 2020

  Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Mifugo Prof. Elisante Ole Gabriel akizungumza na wadau wa sekta ya ngozi jijini Dar es Salaam (09.04.2019) katika ofisi ndogo za Wizara ya Mifugo na Uvuvi namna ya kuboresha tasnia ya ngozi nchini.

 • Serikali ya awamu ya tano itahakikisha inawalinda wafugaji!

  Serikali ya awamu ya tano itahakikisha inawalinda wafugaji!

  June 09, 2020

  Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Joelson Mpina akiweka Jiwe la Msingi kwenye Kiwanda kikubwa cha Kusindika Nyama, Tanchoice kilichopo Mkoa wa Pwani - Kibaha Katika Kijiji cha Soga, Kiwanda hicho kitakuwa na uwezo wa Kuchinja Ng'ombe 1000 kwa siku na Mbuzi 4500. Hivyo ni fursa kubwa kwa Wafugaji kwa maana Soko la Mifugo lakini pia ni fursa kwa Vijana wa Tanzania kuweza kupata ajira, kutokana na kwamba Kiwanda kinauwezo wa kuajiri wafanyakazi 500.

.