Albamu ya Video

  • Waziri Mpina akihitimisha Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi 2019/2020

    Waziri Mpina akihitimisha Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi 2019/2020

    June 09, 2020

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina akihitimisha na kutoa ufafanuzi wa hoja za wabunge waliochangia kwenye majadiliano ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka wa fedha 2019/2020.

  • Naibu Waziri Ulega akijibu hoja za Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi 2019/2020

    Naibu Waziri Ulega akijibu hoja za Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi 2019/2020

    June 09, 2020

    Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega akijibu hoja za wabunge waliochangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2019/2020.

  • Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka wa fedha 2019/2020

    Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka wa fedha 2019/2020

    June 09, 2020

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Joelson Mpina (Mb) amewasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2019/2020 ya Sh. 64.91 Bilioni ikiwa ni ongezeko la Sh. 8.46 Bilioni ikilinganishwa na bajeti ya mwaka wa fedha 2018/2019 ya Sh. 56.45 Bilioni.

  • KIPINDI: MIFUGO NA UVUVI (UFUGAJI BORA WA SAMAKI KWENYE MATANKI)

    KIPINDI: MIFUGO NA UVUVI (UFUGAJI BORA WA SAMAKI KWENYE MATANKI)

    June 09, 2020

    Wizara ya Mifugo na Uvuvi inaandaa mfululizo wa vipindi vya redio na televisheni ambavyo lengo lake kuu ni kutoa elimu na kukufahamisha majukumu ya wizara ya kuboresha sekta ya mifugo na uvuvi kwa mwananchi na taifa kwa ujumla.

  • Wawekezaji endeleeni kufungua viwanda, Mpina!

    Wawekezaji endeleeni kufungua viwanda, Mpina!

    June 09, 2020

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi amewahakikishia wawekezaji wanaowekeza katika Mazao ya Mifugo kuwa, hakuna mtu yoyote atakayechezea soko la bidhaa za mifugo.

.