Albamu ya Video

  • IPINDI: MIFUGO NA UVUVI (IJUE NJIA YA UHIMILISHAJI NA FAIDA ZAKE)

    IPINDI: MIFUGO NA UVUVI (IJUE NJIA YA UHIMILISHAJI NA FAIDA ZAKE)

    June 09, 2020

    Wizara ya Mifugo na Uvuvi inaandaa mfululizo wa vipindi vya redio na televisheni ambavyo lengo lake kuu ni kutoa elimu na kukufahamisha majukumu ya wizara ya kuboresha sekta ya mifugo na uvuvi kwa mwananchi na taifa kwa ujumla. Katika makala haya utafahamu njia ya uhimilishaji na faida zake katika sekta ya mifugo nchini, ili uweze kufuga kwa tija kwa kuwa na ng'ombe watakaokupatia matokeo mazuri yakiwemo ya nyama na maziwa bora.

  • KIPINDI: (MIFUGO NA UVUVI) MAONESHO YA NG'OMBE BORA WA MAZIWA NCHINI 2019.

    KIPINDI: (MIFUGO NA UVUVI) MAONESHO YA NG'OMBE BORA WA MAZIWA NCHINI 2019.

    June 09, 2020

    Wizara ya Mifugo na Uvuvi inaandaa mfululizo wa vipindi vya redio na televisheni ambavyo lengo lake kuu ni kutoa elimu na kukufahamisha majukumu ya wizara ya kuboresha sekta ya mifugo na uvuvi kwa mwananchi na taifa kwa ujumla. Katika kipindi hiki utashuhudia Maonesho ya Ng'ombe Bora wa Maziwa nchini, yaliyofanyika katika viwanja vya Nanenane-Nzuguni jijini Dodoma tarehe 17-18 Juni 2019 na kuhitimishwa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Joelson Mpina (Mb). Maonesho haya yenye kauli mbiu "Ng'ombe Bora kwa Maziwa Zaidi" yana lengo la kuboresha sekta ya mifugo nchini hususan kukuza zao la maziwa.

  • GWARIDE LA NG'OMBE LAIBUA MAZITO, WAZIRI MPINA ATOA MAAGIZO

    GWARIDE LA NG'OMBE LAIBUA MAZITO, WAZIRI MPINA ATOA MAAGIZO

    June 09, 2020

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Joelson Mpina (Mb) ametoa maelekezo kadhaa ili sekta ya mifugo iweze kuwa bora zaidi wakati alipohitimisha gwaride la ng'ombe bora wa maziwa lililofanyika viwanja vya nanenane jijini Dodoma, 17-18 June 2019.

  • KIPINDI: MIFUGO NA UVUVI (MAFANIKIO YA TAASISI YA CHANJO KIBAHA, KUDHIBITI MAGONJWA YA MIFUGO)

    KIPINDI: MIFUGO NA UVUVI (MAFANIKIO YA TAASISI YA CHANJO KIBAHA, KUDHIBITI MAGONJWA YA MIFUGO)

    June 09, 2020

    Wizara ya Mifugo na Uvuvi inaandaa mfululizo wa vipindi vya redio na televisheni ambavyo lengo lake kuu ni kutoa elimu na kukufahamisha majukumu ya wizara ya kuboresha sekta ya mifugo na uvuvi kwa mwananchi na taifa kwa ujumla. Katika makala haya utafahamu mafanikio ya Taasisi ya Chanjo Kibaha (TVI) katika kudhibiti magonjwa ya mifugo nchini

  • KIPINDI: MIFUGO NA UVUVI (UMUHIMU WA KUYAONGEZEA THAMANI MAZAO YA SAMAKI NCHINI)

    KIPINDI: MIFUGO NA UVUVI (UMUHIMU WA KUYAONGEZEA THAMANI MAZAO YA SAMAKI NCHINI)

    June 09, 2020

    Wizara ya Mifugo na Uvuvi inaandaa mfululizo wa vipindi vya redio na televisheni ambavyo lengo lake kuu ni kutoa elimu na kukufahamisha majukumu ya wizara ya kuboresha sekta ya mifugo na uvuvi kwa mwananchi na taifa kwa ujumla. Katika makala haya utafahamu umuhimu wa kuyaongezea thamani mazao ya samaki nchini kupitia viwanda na operesheni dhidi ya uvuvi haramu ambazo zimekuwa zikifanywa na Wizara ya Mifugo na Uvuvi ili kuhakikisha wadau wa Sekta ya Uvuvi wanafuata sheria na taratibu za nchi ili sekta hiyo izidi kuimarika nchini.

.