Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Albamu ya Video
-
MATATIZO YA WAFUGAJI SASA YAMEFIKA MWISHO - Waziri Mpina
June 09, 2020Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina leo (21/07/2019) amehutubia Wananchi wa Jimbo la Kisesa, Meatu Mkoani Simiyu. Nakusema kuwa, “Matatizo ya Wafugaji sasa yamefika mwisho”.
-
SERIKALI YA AWAMU YA TANO HAINA MCHEZO, WATAWAJIBISHWA - Katibu Mkuu Uvuvi
June 09, 2020Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Uvuvi ,Dkt. Rashid amesema Serikali hii ya awamu ya tank haina mchezo! Amesema hayo akiwa Mkoani Rukwa akihutubia Wavuvi wa Wilaya ya Nkasi.
-
KIPINDI: (MIFUGO NA UVUVI) YALIYOTEKELEZWA NA YATAKAYOTEKELEZWA KWA MWAKA 2019/20
June 09, 2020Wizara ya Mifugo na Uvuvi inaandaa mfululizo wa vipindi vya redio na televisheni ambavyo lengo lake kuu ni kutoa elimu na kukufahamisha majukumu ya wizara ya kuboresha sekta ya mifugo na uvuvi kwa mwananchi na taifa kwa ujumla. Katika kipindi hiki utafahamu baadhi ya mambo makubwa yaliyotekelezwa na wizara kwa mwaka 2018/19 na ambayo inatarajia kutekeleza kwa mwaka 2019/20. Kipindi hiki kinatokana na kikao cha Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina alichofanya jijini Dodoma Julai 9 mwaka 2019 kikijumuisha wafanyakazi wote wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi wanaofanya kazi makao makuu ya wizara hiyo na viongozi wa taasisi zilizo chini ya wizara.
-
Wakazi wa Dodoma watoa ya moyoni baada ya kufunguliwa Duka jipya la Nyama/ NARCO
June 09, 2020Wakazi wa Dodoma watoa ya moyoni baada ya kufunguliwa Duka jipya la Nyama/ NARCO
-
KIPINDI: (MIFUGO NA UVUVI) FAHAMU MAFANIKO YA WIZARA KUPITIA MAONESHO YA SABASABA 2019
June 09, 2020Wizara ya Mifugo na Uvuvi inaandaa mfululizo wa vipindi vya redio na televisheni ambavyo lengo lake kuu ni kutoa elimu na kukufahamisha majukumu ya wizara ya kuboresha sekta ya mifugo na uvuvi kwa mwananchi na taifa kwa ujumla. Katika makala haya utafahamu umuhimu wa kuyaongezea thamani mazao ya mifugo na uvuvi hapa nchini kupitia Maonesho ya 43 Biashara ya Kimataifa ya Mwaka 2019 ambayo yamefanyika katika viwanja vya Mwl. Juilus nyerere jijini Dar es Salaam.