Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Albamu ya Video
-
Operesheni zilizokuwa zinaendelea za uvuvi zinaanza upya na kwa Kasi zaidi.
June 10, 2020Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh. Luhaga Mpina amesema hayo alipokutana na kuzungumza na wavuvi Wilaya ya Mwanga katika mwalo wa Kagongo na kusikiliza changamoto zinazowakabili pamoja na kuteketeza nyavu haramu 56, yakiwemo makokoro 50 na Timba 6.
-
KIPINDI: MIFUGO NA UVUVI (MIKAKATI YA KUKUZA SEKTA YA NYAMA NCHINI)
June 10, 2020Wizara ya Mifugo na Uvuvi inaandaa mfululizo wa vipindi vya redio na televisheni ambavyo lengo lake kuu ni kutoa elimu na kukufahamisha majukumu ya wizara ya kuboresha sekta ya mifugo na uvuvi kwa mwananchi na taifa kwa ujumla. Katika kipindi hiki utafahamu majukumu ya Bodi ya Nyama Tanzania (TMB) pamoja na mikakati ya kukuza sekta ya nyama nchini hapa nchini pamoja na kuhakiki ubora wa nyama.
-
KIPINDI: MIFUGO NA UVUVI (FAHAMU UZALISHAJI BORA WA VIFARANGA VYA SAMAKI NCHINI)
June 10, 2020Wizara ya Mifugo na Uvuvi inaandaa mfululizo wa vipindi vya redio na televisheni ambavyo lengo lake kuu ni kutoa elimu na kukufahamisha majukumu ya wizara ya kuboresha sekta ya mifugo na uvuvi kwa mwananchi na taifa kwa ujumla. Katika kipindi hiki utafahamu namna vifaranga bora vya samaki vinavyozalishwa nchini, baada ya makala haya kutembelea kituo cha kuendeleza ufugaji wa samaki cha Mwamapuli kilichopo Mkoani Tabora.
-
KIPINDI: MIFUGO NA UVUVI (FAHAMU MIKAKATI YA KUKUZA SEKTA YA MAZIWA NCHINI)
June 10, 2020Wizara ya Mifugo na Uvuvi inaandaa mfululizo wa vipindi vya redio na televisheni ambavyo lengo lake kuu ni kutoa elimu na kukufahamisha majukumu ya wizara ya kuboresha sekta ya mifugo na uvuvi kwa mwananchi na taifa kwa ujumla. Katika kipindi hiki utafahamu namna serikali kupitia Bodi ya Maziwa nchini ambayo ipo chini ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi inavyoweka mikakati mbalimbali ya kuhakikisha inakuza sekta ya maziwa nchini.
-
KIPINDI: MIFUGO NA UVUVI (UMUHIMU WA MWANI KTK KUKUZA SEKTA YA VIWANDA)
June 10, 2020Wizara ya Mifugo na Uvuvi inaandaa mfululizo wa vipindi vya redio na televisheni ambavyo lengo lake kuu ni kutoa elimu na kukufahamisha majukumu ya wizara ya kuboresha sekta ya mifugo na uvuvi kwa mwananchi na taifa kwa ujumla. Katika kipindi hiki utafahamu kwa undani zaidi zao la mwani na umuhimu wake katika kukuza sekta ya viwanda nchini na pamoja kukuza pato la mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla, kupitia bidhaa zinazotengezwa kwa kutumia zao la mwani.