Albamu ya Video

  • KIPINDI: MIFUGO NA UVUVI (UMUHIMU WA CHANJO YA UGONJWA WA MDONDO KWA KUKU)

    KIPINDI: MIFUGO NA UVUVI (UMUHIMU WA CHANJO YA UGONJWA WA MDONDO KWA KUKU)

    June 10, 2020

    Wizara ya Mifugo na Uvuvi inaandaa mfululizo wa vipindi vya redio na televisheni ambavyo lengo lake kuu ni kutoa elimu na kukufahamisha majukumu ya wizara ya kuboresha sekta ya mifugo na uvuvi kwa mwananchi na taifa kwa ujumla. Katika kipindi hiki utafahamu majukumu ya Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA) na Kiwanda cha Kuzalisha Chanjo nchini (TVI) kilichopo katika Wilaya ya Kibaha Mkoani Pwani namna kinavyohakikisha kinazalisha chanjo za kutosha za ugonjwa wa mdondo kwa kuku.

  • Operesheni zilizokuwa zinaendelea za uvuvi zinaanza upya na kwa Kasi zaidi.

    Operesheni zilizokuwa zinaendelea za uvuvi zinaanza upya na kwa Kasi zaidi.

    June 10, 2020

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh. Luhaga Mpina amesema hayo alipokutana na kuzungumza na wavuvi Wilaya ya Mwanga katika mwalo wa Kagongo na kusikiliza changamoto zinazowakabili pamoja na kuteketeza nyavu haramu 56, yakiwemo makokoro 50 na Timba 6.

  • KIPINDI: MIFUGO NA UVUVI (MIKAKATI YA KUKUZA SEKTA YA NYAMA NCHINI)

    KIPINDI: MIFUGO NA UVUVI (MIKAKATI YA KUKUZA SEKTA YA NYAMA NCHINI)

    June 10, 2020

    Wizara ya Mifugo na Uvuvi inaandaa mfululizo wa vipindi vya redio na televisheni ambavyo lengo lake kuu ni kutoa elimu na kukufahamisha majukumu ya wizara ya kuboresha sekta ya mifugo na uvuvi kwa mwananchi na taifa kwa ujumla. Katika kipindi hiki utafahamu majukumu ya Bodi ya Nyama Tanzania (TMB) pamoja na mikakati ya kukuza sekta ya nyama nchini hapa nchini pamoja na kuhakiki ubora wa nyama.

  • KIPINDI: MIFUGO NA UVUVI (FAHAMU UZALISHAJI BORA WA VIFARANGA VYA SAMAKI NCHINI)

    KIPINDI: MIFUGO NA UVUVI (FAHAMU UZALISHAJI BORA WA VIFARANGA VYA SAMAKI NCHINI)

    June 10, 2020

    Wizara ya Mifugo na Uvuvi inaandaa mfululizo wa vipindi vya redio na televisheni ambavyo lengo lake kuu ni kutoa elimu na kukufahamisha majukumu ya wizara ya kuboresha sekta ya mifugo na uvuvi kwa mwananchi na taifa kwa ujumla. Katika kipindi hiki utafahamu namna vifaranga bora vya samaki vinavyozalishwa nchini, baada ya makala haya kutembelea kituo cha kuendeleza ufugaji wa samaki cha Mwamapuli kilichopo Mkoani Tabora.

  • KIPINDI: MIFUGO NA UVUVI (FAHAMU MIKAKATI YA KUKUZA SEKTA YA MAZIWA NCHINI)

    KIPINDI: MIFUGO NA UVUVI (FAHAMU MIKAKATI YA KUKUZA SEKTA YA MAZIWA NCHINI)

    June 10, 2020

    Wizara ya Mifugo na Uvuvi inaandaa mfululizo wa vipindi vya redio na televisheni ambavyo lengo lake kuu ni kutoa elimu na kukufahamisha majukumu ya wizara ya kuboresha sekta ya mifugo na uvuvi kwa mwananchi na taifa kwa ujumla. Katika kipindi hiki utafahamu namna serikali kupitia Bodi ya Maziwa nchini ambayo ipo chini ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi inavyoweka mikakati mbalimbali ya kuhakikisha inakuza sekta ya maziwa nchini.

.