Albamu ya Video

  • Uzinduzi wa kuogesha mifugo josho la Busaka, CHATO

    Uzinduzi wa kuogesha mifugo josho la Busaka, CHATO

    June 10, 2020

    Waziri wa mifugo na Uvuvi Mh. Luhaga Mpina azindua zoezi la kuogesha mifugo katika josho la Busaka Wilayani Chato, ambapo ng’ombe zaid ya 1700 wameogeshwa katika josho hilo.

  • Uzinduzi wa kuogesha mifugo josho la Busaka, CHATO

    Uzinduzi wa kuogesha mifugo josho la Busaka, CHATO

    June 10, 2020

    Waziri wa mifugo na Uvuvi Mh. Luhaga Mpina azindua zoezi la kuogesha mifugo katika josho la Busaka Wilayani Chato, ambapo ng’ombe zaid ya 1700 wameogeshwa katika josho hilo.

  • Serikali kupata ufumbuzi wa changamoto za Wafugaji, CHATO

    Serikali kupata ufumbuzi wa changamoto za Wafugaji, CHATO

    June 10, 2020

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh. Luhaga Mpina akizungumza na Wafugaji kwenye mkutano wa hadhara katika Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe Mkoani Geita tarehe 26/10/2019, kwa lengo la kusikiliza na kutatua changamoto zinazowakabili wafugaji na wavuvi.

  • DONDOO MUHIMU ZA NAIBU WAZIRI ULEGA, ATAJA FURSA ZA KIPEKEE PWANI!

    DONDOO MUHIMU ZA NAIBU WAZIRI ULEGA, ATAJA FURSA ZA KIPEKEE PWANI!

    June 10, 2020

    Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega azungumzia mambo mbalimbali yanayofanywa na wizara yake katika kuhakikisha Mkoa wa Pwani hususan Wilaya ya Kibaha namna inavyoelekea kuwa mji wa fursa za kibiashara. Naibu Waziri Ulega amezungumza hayo mjini Kibaha (05.12.2019) wakati wa mkutano wa mashauriano kati ya serikali na wawekezaji katika Mkoa wa Pwani, mkutano uliojumuisha zaidi ya wizara kumi.

  • KIPINDI: MIFUGO NA UVUVI (UMUHIMU WA MALISHO NA MATUMIZI YA MBEGU BORA ZA MALISHO)

    KIPINDI: MIFUGO NA UVUVI (UMUHIMU WA MALISHO NA MATUMIZI YA MBEGU BORA ZA MALISHO)

    June 10, 2020

    Wizara ya Mifugo na Uvuvi inaandaa mfululizo wa vipindi vya redio na televisheni ambavyo lengo lake kuu ni kutoa elimu na kukufahamisha majukumu ya wizara ya kuboresha sekta ya mifugo na uvuvi kwa mwananchi na taifa kwa ujumla. Katika kipindi hiki utafahamu majukumu ya Idara ya Uendelezaji Malisho na Rasilimali za Vyakula vya Mifugo iliyo chini ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi namna inavyoweka mikakati mbalimbali ya kusimamia malisho ya wafugaji kwa kutoa elimu na miongozo mbalimbali kwa wafugaji juu ya kulima malisho ya mifugo yao wakiwemo ng'ombe na namna ya kupata mbegu bora za malisho zinazoweza kutoa matokeo mazuri kwa mifugo yao.

.