Albamu ya Video

  • KIPINDI: MIFUGO NA UVUVI (JITIHADA ZA SERIKALI KUFUFUA TAFICO)

    KIPINDI: MIFUGO NA UVUVI (JITIHADA ZA SERIKALI KUFUFUA TAFICO)

    June 10, 2020

    Wizara ya Mifugo na Uvuvi inaandaa mfululizo wa vipindi vya redio na televisheni ambavyo lengo lake kuu ni kutoa elimu na kukufahamisha majukumu ya wizara ya kuboresha sekta ya mifugo na uvuvi kwa mwananchi na taifa kwa ujumla. Katika kipindi hiki utafahamu jitihada za serikali kufufua Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO) na namna Serikali ya Tanzania ilivyopata msaada wa Shilingi Bilioni 4.2 kutoka Serikali ya Japan ili kufufua shirika hilo.

  • Mifugo 578 iliyokamtwa katika msitu wa Tongwe Mashariki, Waachiwa

    Mifugo 578 iliyokamtwa katika msitu wa Tongwe Mashariki, Waachiwa

    June 10, 2020

    Wilaya ya Tanganyika, Tarehe 28/01/2019: Wafugaji waliongiza mifugo zaidi ya 570 na kushikiliwa ndani ya hifadhi walipa faini ya papo kwa papo ya Mil 11.4 badala ya faini iliyokuwa imetozwa awali ya Mil. 60 ambayo ni kinyume na Sheria ya Hifadhi ya Misitu Na.14 ya mwaka 2002, Serikali imetafakari na kuridhia walipe faini hiyo.

  • Ni lazima tuanze kutumia mizani- Prof. Ole Gabriel

    Ni lazima tuanze kutumia mizani- Prof. Ole Gabriel

    June 10, 2020

    Ni kwenye minada yote ya mifugo hapa nchini.

  • Waziri Mpina atangaza kampeni ya Kitaifa ya uzalishaji Kuku nchini

    Waziri Mpina atangaza kampeni ya Kitaifa ya uzalishaji Kuku nchini

    June 10, 2020

    Tunahitaji kuku wengi tuliuzie Bara la Afrika na Dunia. - PWANI

  • KIPINDI: MIFUGO NA UVUVI (FAHAMU NAMNA SERIKALI INAVYOBORESHA MASOKO YA SAMAKI NCHINI)

    KIPINDI: MIFUGO NA UVUVI (FAHAMU NAMNA SERIKALI INAVYOBORESHA MASOKO YA SAMAKI NCHINI)

    June 10, 2020

    Wizara ya Mifugo na Uvuvi inaandaa mfululizo wa vipindi vya redio na televisheni ambavyo lengo lake kuu ni kutoa elimu na kukufahamisha majukumu ya wizara ya kuboresha sekta ya mifugo na uvuvi kwa mwananchi na taifa kwa ujumla. Katika kipindi hiki utafahamu majukumu ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi katika kuhakikisha inaboresha mazingira ya masoko ya samaki nchini katika hali ya usafi pamoja na kuhakikisha masoko hayo yanauza bidha zikiwa katika viwango vya kimataifa. Katika makala haya utashuhudia namna Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina (Mb) alipotembelea Soko la Samaki Magogoni (Feri) jijini Dar es Salaam na kuzindua jengo la vyoo lililojengwa na wizara hiyo pamoja na kuzindua mpango wa kuboresha miundombinu ya soko hilo, ujenzi utakaogharimu zaidi ya Shilingi Bilioni 1.7.

.