Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Albamu ya Video
-
Afrika yakutana kujadili hatma ya Punda!
December 23, 2022Ulega atoa siri ya kudhibiti wasitoweke....
-
MPANGO WA SEKTA YA MIFUGO KWENYE KUFANYA MABADILIKO
December 23, 2022MPANGO WA SEKTA YA MIFUGO KWENYE KUFANYA MABADILIKO
-
UGAWAJI WA MADUME BORA YA NG’OMBE NI UTEKELEZAJI WA MPANGO WA MABADILIKO WA SEKTA YA MIFUGO - NDAKI
December 23, 2022Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mashimba Ndaki amesema ugawaji wa madume ya bora ya ng’ombe ni utekelezaji wa mpango wa mabadiliko wa Sekta ya Mifugo.
-
Mradi wa Faida Maziwa Tanzania wazinduliwa
December 23, 2022Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega amebainisha kuwa mradi wa Faida Maziwa Tabzania utalenga zaidi kujenga uwezo kwa wafugaji wa ng'ombe wa maziwa wanawake na vijana wasiopungua elfu 3 kwa kanda ya Mashariki na kufanya tafiti zenye matokeo chanja kwenye vikwazo vilivyopo katika mnyororo wa biashara ya maziwa kuanzia shambani, kiwandani hadi kufika kwa mlaji.
-
SERIKALI KUPITIA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI YAFANYA MAGEUZI KWENYE SEKTA YA MIFUGO.
December 23, 2022SERIKALI KUPITIA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI YAFANYA MAGEUZI KWENYE SEKTA YA MIFUGO.