Albamu ya Video

  • KIPINDI: PROGRAMU YA ATAMIZI-SEKTA YA UVUVI

    KIPINDI: PROGRAMU YA ATAMIZI-SEKTA YA UVUVI

    April 03, 2023

    Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa upande wa sekta ya Uvuvi imeanzisha Programu maalumu ya Atamizi kwa vijana waliohitimu elimu ya vyuo vikuu na vile vya kati kwa kuwawezesha mafunzo kwa vitendo kuhusu ukuzaji viumbe maji.. Tazama hapo uone namna programu hiyo inavyotekelezwa, yale waliyojifunza vijana hao na matarajio yao..

  • MAKALA: UMUHIMU WA KUKUSANYA MAZIWA KATIKA VITUO RASMI

    MAKALA: UMUHIMU WA KUKUSANYA MAZIWA KATIKA VITUO RASMI

    April 03, 2023

    Katika makala hii utafahamu majukumu ya Bodi ya Maziwa nchini katika kuhakikisha maziwa yanakuwa bora na yanaingizwa katika mfumo ulio rasmi kupitia vituo vya kukusanyia maziwa ili kufikishwa viwandani kwa ajili ya uchakataji na kuuzwa ndani na nje ya nchi.

  • SERIKALI KUKOPESHA WANAWAKE SEKTA YA MIFUGO NA UVUVI

    SERIKALI KUKOPESHA WANAWAKE SEKTA YA MIFUGO NA UVUVI

    April 03, 2023

    SERIKALI KUKOPESHA WANAWAKE SEKTA YA MIFUGO NA UVUVI

  • MAELEKEZO YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KWA WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI MHE. ULEGA

    MAELEKEZO YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KWA WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI MHE. ULEGA

    April 03, 2023

    MAELEKEZO YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KWA WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI MHE. ULEGA

  • TUNASHUKURU KWA FEDHA KIASI CHA SHILINGI BILLIONI 60 KWA AJILI YA UFUGAJI WA SAMAKI - MHE. ULEGA

    TUNASHUKURU KWA FEDHA KIASI CHA SHILINGI BILLIONI 60 KWA AJILI YA UFUGAJI WA SAMAKI - MHE. ULEGA

    April 03, 2023

    TUNASHUKURU KWA FEDHA KIASI CHA SHILINGI BILLIONI 60 KWA AJILI YA UFUGAJI WA SAMAKI - MHE. ULEGA

.