Karibu
Wizara ina jukumu la kusimamia na kuendeleza mifugo kwa ujumla na rasilimali za Uvuvi kwa ajili ya kufikia Malengo ya Milenia, mkakati wa Taifa wa kukuza uchumi na kupunguza umaskini, kuboresha maisha ya jamii zinazotegemea mifugo na uvuvi...... Soma zaidi
-
07
Feb
2023MIFUGO SASA KUUZWA KWA UZITO, SIO KWA KUKISIA
Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imetumia shs. Milioni 249.27 kununua Mizani 82 ambayo itatumika kupima uzito wa mifugo wakati wa biashara katika minada ili kuifanya biashara hiyo kuwa na tija zaidi kwa wafugaji na Taifa kwa ujumla. Soma zaidi
-
07
Feb
2023DORIA ZAPUNGUZA UVUVI HARAMU ZIWA VICTORI
Doria zilizofanyika katika maeneo ya Ukanda wa Ziwa Victoria zimesaidia kupunguza vitendo vya uvuvi haramu, biashara ya samaki wachanga na utoroshaji wa mazao ya uvuvi kwenda nje ya nchi kwa asilimia 80. Soma zaidi
-
03
Feb
2023SERIKALI YATUMIA ZAIDI YA SHS. BIL. 5 KUJENGA MAJOSHO
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amesema kwa mwaka huu wa fedha 2022/2023 Serikali imeshapeleka katika Halmashauri 80 jumla kiasi cha shilingi bilioni 5.4 kwa ajili kukamilisha ujenzi wa majosho. Soma zaidi
-
13
Aug
2018 -
22
Jan
2018