Karibu
Wizara ina jukumu la kusimamia na kuendeleza mifugo kwa ujumla na rasilimali za Uvuvi kwa ajili ya kufikia Malengo ya Milenia, mkakati wa Taifa wa kukuza uchumi na kupunguza umaskini, kuboresha maisha ya jamii zinazotegemea mifugo na uvuvi...... Soma zaidi
-
31
May
2023ASILIMIA 90 YA MAZIWA YANAYOZALISHWA NCHINI YAPO NJE YA MFUMO-DKT. MUSHI
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) Dkt. Daniel Mushi ameitaka Bodi ya Maziwa nchini kwa kushirikiana na wadau wote waliopo kwenye mnyororo wa thamani wa bidhaa hiyo kufanya tathmini ya kina juu ya kiwango cha maziwa yanayozalishwa na kupotea kabla hayajaingia kwenye mfumo rasmi wa uchakataji. Soma zaidi
-
31
May
2023MAZIWA YASIYO SALAMA NI HATARI KWA MLAJI-SILINDE
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. David Silinde ameonya kuwa matumizi ya maziwa yasiyo salama huhatarisha maisha ya mlaji kutokana na kutumika kama njia ya kusafirisha magonjwa ya mifugo kwenda binadamu. Soma zaidi
-
31
May
2023VIJANA WANUFAIKA MAFUNZO YA UVUVI KUPEWA KIPAUMBELE KATIKA MIKOPO
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amewahakikishia vijana walionufaika na mafunzo atamizi ya uvuvi na ukuzaji viumbe maji na ambao wameshaandaa maandiko ya miradi kuwa watapewa kipaumbele katika kupata mikopo ili waweze kuendeleza miradi yao. Soma zaidi
-
13
Aug
2018Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki atapokea na kuzindua Mizani itayayotumika kwenye minada ya mifugo kwa ajili hapa nchini.
Mahali:Dar es Salaam
Soma zaidi -
22
Jan
2018Utiaji saini makubaliano baina ya Chama cha Ushirika wa Wavuvi – BUKASIGA kilichopo Wilaya ya Ukerewe Mkoani Mwanza na Sokoine University
Mahali:Mwanza
Soma zaidi