Karibu

Wizara ina jukumu la kusimamia na kuendeleza mifugo kwa ujumla na rasilimali za Uvuvi kwa ajili ya kufikia Malengo ya Milenia, mkakati wa Taifa wa kukuza uchumi na kupunguza umaskini, kuboresha maisha ya jamii zinazotegemea mifugo na uvuvi...... Soma zaidi

  • news title here
    14
    Jul
    2024

    SERIKALI KUBORESHA MINADA NCHINI

    Wizara ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi imejipanga kuboresha miundombinu ya Minada iliyopo nchini ili iweze kukidhi mahitaji ya watumiaji hasa katika sehemu za uzio, vyoo, maji, taa pamoja na mifumo ya malipo. Soma zaidi

  • news title here
    08
    Jul
    2024

    ULEGA ASHIRIKI KILELE CHA MKUTANO WA UVUVI MDOGO JIJINI ROMA, ITALIA

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega yupo nchini Italia kushiriki kilele cha Mkutano wa Uvuvi Mdogo Duniani. Soma zaidi

  • news title here
    04
    Jul
    2024

    ULEGA-HUU NI MWAKA WA MATOKEO

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega ameitaka menejimenti ya wizara kuhakikisha katika mwaka wa fedha 2024/25 kila mmoja katika nafasi yake anawajibika ipasavyo ili utekelezaji wa miradi uwe na matokeo ya kupigiwa mfano. Soma zaidi

Soma zaidi
  • 13
    Aug
    2018

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki atapokea na kuzindua Mizani itayayotumika kwenye minada ya mifugo kwa ajili hapa nchini.

    Mahali:Dar es Salaam

    Soma zaidi
  • 22
    Jan
    2018

    Utiaji saini makubaliano baina ya Chama cha Ushirika wa Wavuvi – BUKASIGA kilichopo Wilaya ya Ukerewe Mkoani Mwanza na Sokoine University

    Mahali:Mwanza

    Soma zaidi